verbatim report of - ConstitutionNet
verbatim report of - ConstitutionNet
verbatim report of - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
mamlaka kinyume cha sheria ambapo haistahili.

Maoni yangu ya tatu, yahusika na uchumi. Uchumi wa nchi yetu unatakikana uwe na Commission ya kusimamia uchumi ili

uchumi wetu ujulikane utakuwa kwa njia gani. Katika Commission hiyo ichukue wataalamu, ma-engineer, wanaviwanda

wachague chairman wao katika hiyo committee.

Maoni yangu kwa upande wa elimu, ningependa serikali ianzishe ushuru wa elimu kwa wakenya wote walio na uwezo kufanya

kazi ili serikali ipate pesa za kulipa walimu na kutengeneza majengo ya shule na vitu vingine bila kutegemea harambee.

Maoni yangu ya tano yanahusiana na Commission zote zinazoundwa. Commissioner ya uchaguzi, Commission ya Katiba,

ziunganishwe zikuwe Commission moja ili ziweze kufanya kazi pamoja kama Commissions zinazoangalia masilahi ya sheria za

nchi hii.

Uhuru wa vyama vya wafanyikazi; Vinatakiwa vikuwe vya kujitegemea. Visiingiliwe na wanasiasa au viongozi wowote wa

serikali, ndio viweze kutetea wafanyikazi kwa njia ipasavyo.

Maisha ya ndoa na watoto, wanaume na wanawake wasiwachwe waishi bila ndoa ya halali na wasipewe nafasi ya kuzaa

watoto kiholela kwa sababu hiyo inaleta wanaume wengi kuzaa na wanawake bila kuwaoa halafu wanasababisha watoto

ambao hawana malezi mema. Ningependa Katiba mpya itunge sheria ya kuwalinda wanawake kutotakana na wanaume

wanaowanyanyasa baada ya kuona hawawapendi. Wanawaacha wakiteseka na watoto, na hakuna sheria inayolinda

wanawake kama hao na watoto kama hao.

Namaliza maoni yangu nikisema kwamba, sehemu ambazo zinamanufaa ya vitu fulani vya kiuchumi kama vile sehemu zenye

kulimwa mahindi ingekuwa ni bora viwanda vya kusiaga mahindi na store za kuweka mahindi hayo, zijengwe huko kunakotoka

mazao hayo. Zisijengwe mjini ambapo hazitafaidisha watoto wa wakulima wa hivyo vitu. Ambapo itawabidi waende tena

kutafuta kazi sehemu ambazo hizo vitu zilipandwa na wababa yao hazipandwi. Hiyo ikiwa utapeleka viwanda hizo huko,

kunapopandwa hizo vitu, itapunguza mminiko wa vijana mjini. Maoni yangu yanafikia hapo na ninawashukuru sana.

Com. Nunow: Asante sana kwa maoni yako, ujiandikishe hapa. Christopher Omasaba? A.K Olukosi.

A . K Olukosi: Thank you very much for the work you are doing. I wish to participate by contributing my proposals. I think

this Constitution Review Commission is doing a very wonderful job and I congratulate you. The Constitution of any nation is,

must, should and always be pivotal (inaudible) center of life and force of law of that nation above every thing else as the sun is

to the universe. The Constitution of the Republic of Kenya should, in keeping with the fundamentally basic universal norm,

therefore, be defined, designed and made in such a manner that strictly forbids and prevent any care free egocentric parochially

selfish adulteration of the document through uncalled for subjective amendments.

48