09.03.2013 Views

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Vile vile wizara kama ya vijana itakuwa inaangalia fedha tujue vijana wangapi wako katika kijiji na wanaweza fanya nini. Katika

hali kama hiyo wanaweza tafuta wafadhili ambao watakuja iangalie masilahi ya hao vijana, ili vijana wajiandae kwa maisha ya

usoni. Wakati huu vijana wanamaliza, hawana kazi na wakianza maisha ya kawaida inakuwa vigumu.

Mbali na hayo nitaongea juu ya masikini. Wengi wetu katika nchi yetu ya Kenya ni maskini na tunapojaribu kuangalia jambo

kama hili lazima tukuwe na mpango unaofaa kulingana na rasilmali katika kila sehemu. Tuseme sehemu fulani ukulima unaweza

fanyika, kuna sehemu ingine mambo fulani yanaweza tendeka ili tuangalie wale watu wanaweza kufadhili projects ili watu wawe

wanaweza kutumia rasilmali yao kupata haki yao ya kawaida kuliko kutazamia kuomba. Tuseme tu kuomba tu mambo ya nje

ili wenyewe tuwe tunajiweza kifedha.

Ya tatu nitaongea juu ya siasa kidogo, juu ya parties. Ningelipenda kama upande wa President, mamlaka yale yachunguzwe

kwa maana President ni binadamu. Wakati mwingi kama ako katika mamlaka, akikosea, awe na haki ya kuulizwa mbona

alikosa. Na vile vile asikuwe na mamlaka mengi sana kuliko wakati huu.

Mbali na hayo pia tutaangalia upande wa Bunge. Kuna wabunge ambayo wana ile tabia ya kuhama hama katika chama kimoja

wakienda kwa chama kingine. Niseme ni haki ya wale watu wanaowapatia kura hata wakifika wakati waseme, "huyu

tumempatia kura." Na kama tunaona mtu akihama katika party akienda party ingine, basi ni heri atolewe tu asipatiwe tena nafasi

ingine. Vile vile hii tabia ya kutumia pesa tukiwa katika harakati ya kutafuta kura, kuna watu ambao wanajiweza kifedha, na

watu wengine hawajiwezi lakini lazima tuangalie huyu mtu ana-qualities gani kuwa kama leader ili kama mtu ambaye hatakuwa

anatumia pesa katika campaign, huyo mtu atolewe tu katika hali ya kutafuta kura. Ili tukuwe na lengo fulani ya kutafuta kura.

Vile vile tena tungependa kama State itoe viombo vya habari, watu kama hawa ambao hawawezi kufikia kila watu, tuyasikize

maoni yao kupitia kwa TV kupitia kwa radio, kupitia magazeti ili tuchunguze huyu mtu anaweza kuwa MP anaweza kutuletea

mambo kama haya. Nafikiria ni hayo tu, asanteni.

Com. Nunow: Asante sana, ujiandikishe tafadhali. Angote Mitekwa?

Angote Mitekwa: Jina langu ni Angote Mitekwa, kwa maoni yangu ningependelea Electoratal Commission ibadili mtindo

unaoendelea sasa wa kuweka pamoja uchaguzi wa Rais, Wabunge na Ma-councilor. Maoni yangu, ningependa Rais apigiwe

kura peke yake na wabunge wapigiwe kura peke yao ili mtu atakayeshinda wenzake kwenye kura ya Urais awe Rais wa taifa.

Na chama kitakachopata wabunge wengi katika Bunge, kiongozi wa chama hicho, Katiba imchague awe Waziri Mkuu; Waziri

Mkuu ambae ataunda baraza la mawaziri wake ikiwa chama hicho kitakuwa kimeshinda. Na iwapo chama hakitashinda kwa

wabunge wengi, viungane vyama viwili vitatu vitakavyoweza kutimiza Wabunge wanaoweza kuunda serikali na itakuwa serikali

ya mseto.

Maoni yangu ya pili yanahusiana na kuchagua waziri wa sheria sababu nchi ikiwa haina waziri wa sheria, watu wengi hutumia

47

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!