verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

Reboam Mutsili: Bwana Commissioner, some of them are already dead, they have no Members in Parliament and they do not even exist. So if they are scrapped by the Attorney General and we remain with only six parties, those that are worthy can be merged by the other parties and we remain with only six parties in our Constitution to run the country. Com. Ayonga: Reuben Okeyo Reuben Okeyo: Jina langu ni Reuben Okeyo na maoni yangu ni kuhusu ndoa ambayo tuko nayo katika Kenya na kuhusu pombe ambayo imekuwa ni haramu katika Kenya. Hivi vitu viwili vinanipa matatizo, matatizo yake ni hii; Vijana wa siku hizi wanafanya vitu kama ndoa ya kuwekana ambayo inaletea wazazi matatizo sana. Mambo ya chokara yaliingia kutokana na watoto ambao wanazaliwa ghafla namna hiyo kwa ndoa ambayo haina ukweli. Sasa unakuta ya kwamba unapeleka msichana kwa shule asome badala ya kukuletea certificate ya masomo anakuletea watoto. Sasa unakuwa na watoto mfululizo kila mwaka. Hiyo ni kusema kwamba hatuna sheria ambayo inazuia kufanya mambo kama hayo. Kwa hivyo tunataka Katiba mpya iwe na sheria mpya ya ndoa ili msichana akiolewa awe ameolewa. Na kama anaweza kupata mimba nje ya ndoa, kuwe na sheria fulani ambayo inaweza kukataza. Sababu vile wanavyozaa namna hiyo na hii ndoa ya ghafla, hii ya kuwekana hii ndio imeanza kufanya chokora kuonekana wengi wakati ambapo kuliondolewa sheria kuwa msichana akipewa mimba na kijana fulani aweze kuchukuliwa hatua yaani alishe huyu mtoto kuanzia kuzaliwa hadi miaka kumi na nane hivi ndio aweze kuachiliwa halafu ndio akitaka amchukue ama akitaka asimchukue akatae. Kwa sababu atakuwa mtu mzima. Sasa wakati huu imekuwa ni mzigo kwa sababu akizaa anaachia tu mzazi kwa sababu kama babu na nyanya, watashughulika na hio imekuwa ni mzigo. Kutokuwa na sheria ama kutokuwa na ile amri ya kuzuia mambo kama hayo ndio imetuletea shida. Hapo naona ni kama chokora walianzia hapo na ndio sababu tuko na mzigo. Tunataka upande wa ndoa tuweke sheria katika Katiba mpya ijaribu kuweka sheria kwa ndoa ili tusipate watoto ambao hatuwezi kujua misingi yao vile inaweza kuwa. Jambo la pili ni kuhusu pombe haramu. Pombe haramu imekuwa mzigo na hapa inatakikana Katiba ya wakati huu ifikirie kwa sababu yenyewe hii pombe si kitu mzuri lakini iko sababu inanyoa. Lakini mkiambia mtu asikunywe busaa na mwingine anaburudika na beer ama na whisky ingine ambayo inakuwa recommended na serikali, sasa huyu mtu ambaye anataka kunywa atakunywa nini kama hawezi kutengeneza uji mwingine uwe kidogo kama kali kali ili avite pombe akunywe. Hiyo imeleta shida kwa sababu imefanya sasa badala ya kuwa ni sheria ya pombe, imekuwa ni pombe haramu. Sasa inafanya serikali ama askari wameingilia hiyo na ni kazi yao. Akina mama wale ambao wanafanya hiyo kazi ya kupata unga kwa hiyo pombe, hata saa ingine hawana raha sababu zile pesa ambazo wamezipata pale wanagawana na askari. Hata kama korti iko kwa sababu hiyo imezuiliwa ya kwamba ni haramu, hata Judge hawakutani na hawa watu wote, anakutana na watu wawili kati ya watu hawa walikuwa wamekwenda kunywa ambao ni ishirini, anapata yule ambaye hakuwa na pesa ndio atawafanyia kesi. Lakini wale wengine walikuweko kumi na nane wanapotelea mistuni kwa sababu iko koti mara mbili. Sasa imefanya askari 28

wanakuwa na nguvu ya kushughulikia kazi ya pombe kuliko kazi ingine ambayo wanafanyia raia wafurahi nayo. Sasa serikali, Katiba hii itafute sheria ambayo inaweza ku-release hiki kitu. Labda iwekwe rahisi kwa watu wengine ambao wanaweza kuwa wanahitaji starehe za aina fulani, wapewe nafasi kidogo ama wapewe nafasi ambayo inaweza kuwa ni free kufanya hivyo kuliko kuwa imekazwa sana kwamba ni haramu. Huku si haramu, huku inaleta faida kwa askari. Sasa hii sheria, ningeomba Katiba ya wakati huu tafadhali irekebishe hapo kwa sababu pombe haitamaliza shida. Nguvu za Mungu ndizo zinaweza kumaliza hamu ya kila kitu mtu anatumia lakini sheria peke yake ambayo inasema watu waache pombe haramu, hawatawacha hata ikifanywa namna gani. Na kama inawezekana afadhali ipigwe marufuku kabisa kuliko kuwa nusu nusu ambayo haiko ndani ya sheria. Na kama sivyo, irekebishwe ili raia wawe na raha kwa balance mtu aweze kujirekebisha kwa njia ili anaweza. Ni hiyo tu. Com. Nunow: Asante sana na, jiandikishe Mzee, Mzee tafadhali njoo ujiandikishe. Eric Obunyasi. Eric Obunyasi: Kwa majina ni Eric Obunyasi, na ningependa kuwakilisha mambo yafuatayo: In the first place I would like to refer to the old Constitution, part one, dealing with Executive. In 1978 we had a Constitution change after the death of the founding father and this year God willing, we may have transititonal change and this is the area I would like to comment on. In the new Constitution I recommend the following, and I quote: “It should be made illegal for anyone to hand pick and campaign for any aspiring candidate for that high office”. I say this because it interferes with the democratic rights of individuals, specifically the individual political opinions. You will agree with me Commissioners, we all have different opinions. Some of these Emuhaya people are opposition supporters. If you tell them to vote for KANU, some of them will commit suicide overnight others are strong KANU supporters, if you tell them to vote for opposition they will even commit suicide. Therefore the political opinion right should be left to individuals to decide what to do. I would like also to highlight on part 7 of the old Constitution, finances. And it states that all finances of the government should be collected and be made a consolidated fund. And in that Constitution, it recommends that the withdrawal must be made through Parliament or Appropriation Bill. However, it has happened that money has been spent without following the right channels and there is no punishment for the offenders. Therefore I suggest that anyone withdrawing funds outside the Constitutional means should be punished and punishment should be specified. Even if he is a public figure, he should loose his job. My good Commissioners, I would also like to refer to chapter 8 of the old Constitution. The new Constitution should try to fight corruption kwa sababu corruption is a disease that is killing our society. For example young boys and girls are graduating from schools. Somebody in Nairobi or somewhere else is asking them to pay 50,000 or 40,000 for them to be admitted in teachers training or medical institutions, it is very unfair. Also a very influencial politician may also manipulate the situation when these are the inteviews for military police or AP. He comes and picks his own people for his political benefit. So I suggest that institutions 29

Reboam Mutsili: Bwana Commissioner, some of them are already dead, they have no Members in Parliament and they do

not even exist. So if they are scrapped by the Attorney General and we remain with only six parties, those that are worthy can

be merged by the other parties and we remain with only six parties in our Constitution to run the country.

Com. Ayonga: Reuben Okeyo

Reuben Okeyo: Jina langu ni Reuben Okeyo na maoni yangu ni kuhusu ndoa ambayo tuko nayo katika Kenya na kuhusu

pombe ambayo imekuwa ni haramu katika Kenya. Hivi vitu viwili vinanipa matatizo, matatizo yake ni hii; Vijana wa siku hizi

wanafanya vitu kama ndoa ya kuwekana ambayo inaletea wazazi matatizo sana. Mambo ya chokara yaliingia kutokana na

watoto ambao wanazaliwa ghafla namna hiyo kwa ndoa ambayo haina ukweli. Sasa unakuta ya kwamba unapeleka msichana

kwa shule asome badala ya kukuletea certificate ya masomo anakuletea watoto. Sasa unakuwa na watoto mfululizo kila

mwaka. Hiyo ni kusema kwamba hatuna sheria ambayo inazuia kufanya mambo kama hayo. Kwa hivyo tunataka Katiba mpya

iwe na sheria mpya ya ndoa ili msichana akiolewa awe ameolewa. Na kama anaweza kupata mimba nje ya ndoa, kuwe na

sheria fulani ambayo inaweza kukataza.

Sababu vile wanavyozaa namna hiyo na hii ndoa ya ghafla, hii ya kuwekana hii ndio imeanza kufanya chokora kuonekana wengi

wakati ambapo kuliondolewa sheria kuwa msichana akipewa mimba na kijana fulani aweze kuchukuliwa hatua yaani alishe huyu

mtoto kuanzia kuzaliwa hadi miaka kumi na nane hivi ndio aweze kuachiliwa halafu ndio akitaka amchukue ama akitaka

asimchukue akatae. Kwa sababu atakuwa mtu mzima. Sasa wakati huu imekuwa ni mzigo kwa sababu akizaa anaachia tu mzazi

kwa sababu kama babu na nyanya, watashughulika na hio imekuwa ni mzigo. Kutokuwa na sheria ama kutokuwa na ile amri ya

kuzuia mambo kama hayo ndio imetuletea shida. Hapo naona ni kama chokora walianzia hapo na ndio sababu tuko na mzigo.

Tunataka upande wa ndoa tuweke sheria katika Katiba mpya ijaribu kuweka sheria kwa ndoa ili tusipate watoto ambao

hatuwezi kujua misingi yao vile inaweza kuwa.

Jambo la pili ni kuhusu pombe haramu. Pombe haramu imekuwa mzigo na hapa inatakikana Katiba ya wakati huu ifikirie kwa

sababu yenyewe hii pombe si kitu mzuri lakini iko sababu inanyoa. Lakini mkiambia mtu asikunywe busaa na mwingine

anaburudika na beer ama na whisky ingine ambayo inakuwa recommended na serikali, sasa huyu mtu ambaye anataka kunywa

atakunywa nini kama hawezi kutengeneza uji mwingine uwe kidogo kama kali kali ili avite pombe akunywe. Hiyo imeleta shida

kwa sababu imefanya sasa badala ya kuwa ni sheria ya pombe, imekuwa ni pombe haramu. Sasa inafanya serikali ama askari

wameingilia hiyo na ni kazi yao. Akina mama wale ambao wanafanya hiyo kazi ya kupata unga kwa hiyo pombe, hata saa ingine

hawana raha sababu zile pesa ambazo wamezipata pale wanagawana na askari. Hata kama korti iko kwa sababu hiyo

imezuiliwa ya kwamba ni haramu, hata Judge hawakutani na hawa watu wote, anakutana na watu wawili kati ya watu hawa

walikuwa wamekwenda kunywa ambao ni ishirini, anapata yule ambaye hakuwa na pesa ndio atawafanyia kesi.

Lakini wale wengine walikuweko kumi na nane wanapotelea mistuni kwa sababu iko koti mara mbili. Sasa imefanya askari

28

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!