verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

in the memorandum. Land and property rights: Indviduals must have ultimate rights to ownership of land. There should be a ceiling on land owned by an individual Kenyan. No one should be allowed to own more than 100 acres unless for special purposes. Non-citizens should be restricted on ownership of land. The other thing, cultural, ethinic, regional diversity and communial rights. Kenyans' ethnic and cultural diversity contribute to a national culture and should be protected and promoted in the Constitution. The rest you will have to read for your-selves. Management and use of national resources. The management and distribution of national resources should be vested in the hands of the Executive alone. The Constitution must put in place checks and balances to make sure that national resources are distributed equally to all Kenyans and managed well by Kenyans themselves. The other issue is on distribution of national resources. For example, business people are really suffering due to unfair competition. You find that we have got some people, they are not Kenyans, but they are competing nationals in business. Kama Wahindi, unakuta Mhindi anafanya biashara ya wholesale and at the same time anafanya biashara ya retail. Tunataka Constitution yetu iweke kabisa dermacation triction ya kwamba ukifanya biashara ya whole sale usiwe ukifanya tena biashara ya retail under the same roof or in the same town. Kwa hivyo tunataka halmashauri ambazo zita-angalia hii mambo. Kama zamani tulikiwa na Kenya National Trading… what was it? K.N.T.C. ambayo ilikuwa ikirekebisha mambo ya distribution of goods. Wafanyi biashara wanaonelea hii ikirudishwa itatusaidia sana kwa maana kama wakati huu ambao wahindi ambao wengi sio Wanakenya, wananunua sukari yote kule Mumias halafu Mwafrika akienda huko kununua sukari anaambiwa atoe mamilioni ya pesa na hiyo yote inafanya non-Kenyans kuchukua uchumi wetu mikononi na sisi wenyewe hatuna kitu. Given that we don’t have money na hawa watu wanatoa pesa popote wanafikiria na wanakuja hapa kutunyanyasa kwa kibiashara. Kwa hivyo tunataka business, I mean Constitution yetu itulinde kwa upande wa kibiashara. Mengi mtayasoma hapa. Environmetnt and Natural resources: The Constitution must protect the environment and natural resources such as forests, water, wild life minerals and others. Parliament should have powers to enforce laws on the protection of envirment. Also Kenyans should protect and have powers to enforce laws on the protection of environment. Next, we come to participatory governance. Participatory governance is very important for it will make every Kenyan feel part and parcel of the Government. Non-governmental organizations and other organized groups should have a role to play in Governance.They should be involved in decision making, planning and implementing of the polices in order for them to succeed. Tunataka hata kama kwa local authorities watu wenyewe waende huko ku-present mambo yao kwa maana hawa councillors saa zingine hawa-present mambo ya wananchi yote. Kama wafanyi biashara tungependelea mfanyi biashara, wale wafanyi biashara ambao wanafanya biashara in their local communities waende huko ku-present mambo or maslahi ya wafanyi biashara 24

wenyewe. Hiyo tena imekuwa explained kwa hii memorundum mtasoma. Halafu tunataka hii Katiba yetu iandikwe kwa lugha zile ambazo zinaeleweka. Kama wafanyi biashara wakienda kotini kuna lugha ile ya learned friends ambayo sisi hatuelewi. Ukitaka kuelewa ni lazima upate advocate ndiyo awe akikutafsiria. Lakini kwa Katiba ambayo tunataka kuunda wakati huu, tungependelea sana iwekwe kwa lugha ambazo tunaweza kuelewa , tafadhali. Kitu kingine ambacho tungependelea, wafanyi biashara wanaonelea kwamba hii mambo ya provincial administartion irekebishwe. Kama P.C. afisi ya P.C, saa ingine hatuelewi inafanya kazi gani. Kama tungekuwa na D.C, halafu P.C apewe mamlaka awe co-ordinator between the Government na raia, nafikiri hapo itakuwa vizuri. Tena tunapendelea ya kwamba tuwe na korti kwa kila district, hata ikiwezekana every division iwe na korti yake. Halafu tuwe na High Court kwa district, halafu tuwe na supreme Court kule Nairobi or kwa Head-quarters. Hiyo itakuwa vizuri kwa maana korti za wakati huu zinaonekana ni chache sana. Kesi nyingi sana zinalala huko kotini, hazijakatishwa mara moja. Na tena tunataka Constitution ieleze kesi inaweza kukaa kotini miaka mingapi kwa maana kuna kesi zingine ambazo zimeshakaa kotini hata kwa miaka kumi na hazijakatishwa bado. Tunataka lazima Katiba ieleze wazi kesi inatakikana ikae kortini kwa muda gani. Nafikiri la mwisho Bwana Commissioner tunaonelea kwamba every constituency should have a constituency office. Sio ofisi ya chama, hapana. Iwe ofisi ya constituency ambapo tutakuwa na committee, na hii committee ndio itakuwa ikifuatilia mwenendo wa Mbunge. Akifanya jambo au akija kwa hiyo ofisi, hapo ndio wananchi wanaweza kumkosoa au kum-praise kwa vile ikiwa ni ofisi ya chama kama hapa kwetu Emuhaya tuko na ofisi ya KANU, sasa hiyo ofisi ni ya wanachama wa KANU peke yake. Lakini pengine kuna wengine ambao sio wa KANU lakini wangependa kuongea na Mbunge wao. Tuwe na ofisi ambayo anaeweza ku-meet all his constituents akifanya makosa huko, aitwe hapo na tuseme anaweza kukosolewa kwa hiyo ofisi. Nafikiri Bwana Commissioner mengi mutasoma kwa hii document, asante sana. Com. Ayonga: Asante Bwana Hosea Masinde kwa yale ambayo umetupa, unaweza kuenda kule ujiandikishe na uache hayo makaratasi kule. Arthur Etale? Arthur Etale: My names are Arthur Etale. I am a C.C.C member of Emuhaya constituency but on the other hand I’m also representing the interests or the memorandum of the people of Central Bunyore. However, I will highlight a few issues. I will start with defense and national security. The Central Bunyore people say that discipline forces should be established by the Constitution. Two, world defence. They also said that the discipline forces should be, there should be martial courts to deal with those who are indisciplined in the Armed Forces. They also suggested that when we do not have a lot of problems like wars and disasters, these people should be involved in government building infrustructures like road and bridge construction. They also suggested that the President should be the Commander-in- Chief of the Armed Forces. 25

wenyewe. Hiyo tena imekuwa explained kwa hii memorundum mtasoma.

Halafu tunataka hii Katiba yetu iandikwe kwa lugha zile ambazo zinaeleweka. Kama wafanyi biashara wakienda kotini kuna

lugha ile ya learned friends ambayo sisi hatuelewi. Ukitaka kuelewa ni lazima upate advocate ndiyo awe akikutafsiria. Lakini

kwa Katiba ambayo tunataka kuunda wakati huu, tungependelea sana iwekwe kwa lugha ambazo tunaweza kuelewa ,

tafadhali.

Kitu kingine ambacho tungependelea, wafanyi biashara wanaonelea kwamba hii mambo ya provincial administartion

irekebishwe. Kama P.C. afisi ya P.C, saa ingine hatuelewi inafanya kazi gani. Kama tungekuwa na D.C, halafu P.C apewe

mamlaka awe co-ordinator between the Government na raia, nafikiri hapo itakuwa vizuri. Tena tunapendelea ya kwamba tuwe

na korti kwa kila district, hata ikiwezekana every division iwe na korti yake. Halafu tuwe na High Court kwa district, halafu

tuwe na supreme Court kule Nairobi or kwa Head-quarters. Hiyo itakuwa vizuri kwa maana korti za wakati huu zinaonekana ni

chache sana. Kesi nyingi sana zinalala huko kotini, hazijakatishwa mara moja. Na tena tunataka Constitution ieleze kesi inaweza

kukaa kotini miaka mingapi kwa maana kuna kesi zingine ambazo zimeshakaa kotini hata kwa miaka kumi na hazijakatishwa

bado. Tunataka lazima Katiba ieleze wazi kesi inatakikana ikae kortini kwa muda gani.

Nafikiri la mwisho Bwana Commissioner tunaonelea kwamba every constituency should have a constituency office. Sio ofisi ya

chama, hapana. Iwe ofisi ya constituency ambapo tutakuwa na committee, na hii committee ndio itakuwa ikifuatilia mwenendo

wa Mbunge. Akifanya jambo au akija kwa hiyo ofisi, hapo ndio wananchi wanaweza kumkosoa au kum-praise kwa vile ikiwa

ni ofisi ya chama kama hapa kwetu Emuhaya tuko na ofisi ya KANU, sasa hiyo ofisi ni ya wanachama wa KANU peke yake.

Lakini pengine kuna wengine ambao sio wa KANU lakini wangependa kuongea na Mbunge wao. Tuwe na ofisi ambayo

anaeweza ku-meet all his constituents akifanya makosa huko, aitwe hapo na tuseme anaweza kukosolewa kwa hiyo ofisi.

Nafikiri Bwana Commissioner mengi mutasoma kwa hii document, asante sana.

Com. Ayonga: Asante Bwana Hosea Masinde kwa yale ambayo umetupa, unaweza kuenda kule ujiandikishe na uache hayo

makaratasi kule. Arthur Etale?

Arthur Etale: My names are Arthur Etale. I am a C.C.C member of Emuhaya constituency but on the other hand I’m also

representing the interests or the memorandum of the people of Central Bunyore. However, I will highlight a few issues.

I will start with defense and national security. The Central Bunyore people say that discipline forces should be established by the

Constitution.

Two, world defence. They also said that the discipline forces should be, there should be martial courts to deal with those who

are indisciplined in the Armed Forces. They also suggested that when we do not have a lot of problems like wars and disasters,

these people should be involved in government building infrustructures like road and bridge construction. They also suggested

that the President should be the Commander-in- Chief of the Armed Forces.

25

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!